BABU TALE, MENEJA WA TIP TOP CONNECTION
NYOTA WA TIP TOP, MADEE, DESSO, KEYSHA NA CASSIM
Meneja wa kundi hilo BABU TALE amesema kwamba uzinduzi huo utapambwa na wasanii kama Linah, Mwasiti, Jaffaray, Roma, Godzila na wengineo.
Kundi hilo lililojizolea umaarufu mkubwa linaundwa na wasanii wanaofanya vema katika medani ya bongo fleva wakiwemo Madee, Tundaman, Cassim, Desso na Keysha.
Hata hivyo,first lady wa kundi hilo Khadija Shaban 'Keysha' hatoshiriki katika uzinduzi huo kutokana na kusimamishwa baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu.
jamani Keysha au wamemuonea! msameheni basi atajirekebisha jama!!!
ReplyDelete