Kimobitel alisema pamoja na ubabaishaji huo, alichukizwa na kitendo cha mkurugenzi wa bendi hiyo ALi Choki kumtaka afukuze wasanii 7 kwa madai kuwa wanakuja wengine wapya kitendo ambvacho si kizuri.
Alisema alishangazwa na hali hiyo kwani badala ya kuboreshwa kwa masklahi ya wanamuziki waliokuwepo lakini alitaka kuongeza wasanii wengine.
"Nimerudi nyumbabni kwani haopa Twanga ni kwetu, jina langu lilipatikana hapa tangu nikiwa na African Revolution enzi hizo ikiitwa 'Chumvi Chumvi'.
Post a Comment