Home SAM TIMBE AANZA KUINOA YANGA Dina Zubeiry February 08, 2011 0 Comments Facebook Twitter KOCHA Mpya wa Yanga Sam Timbe kutoka nchini Uganda jana ameanza rasmi kuinoa timu hiyo ambayo ipo katika aandalizi ya mechi yake ya marudiano ya kombe la shirikisho la Sojka barani Afrik (CAF) dhidi ya Dedebit ya Ethiopia wekeend hii. Facebook Twitter
Post a Comment