VODACOM ILIVYOPAMBA KILI MARATHON 2011


Baadhi ya washiriki wakitimua mbio za Vodacom 5KM Fun Run mara baada ya Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini Alhaj Musa Samizi kuanzisha mbio hizo

Mkuu wa Wilaya ya Hai Dr Noman Sigwa akimpatia zawadi ya shilingi…Mtoto mlemavu Cornel Zagara aliyeshiriki mbio za Vodacom 5KM fun run zilizofanyika mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro,katikati Meneja Udhamini wa Vodacom Rukia Mtingwa.

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaj Musa Samizi akianzisha rasmi mbio za Vodacom 5KM fun run zilizofanyika leo mjini moshi mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa Wilaya ya Hai Dr Noman sigwa akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Vodacom 5KM Fun Run Kalis Stiven kitita cha shilingi 100,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa mbio hizo,kulia Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza.

Kutoka kushoto Meneja mahusiano wa Vodacom Nector Foya,Mkurugenzi wa Vodacom kanda nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga,Meneja udhamini wa Precision Air wakishiriki katika mbio za Vodacom 5KM Fun Run zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Post a Comment

Previous Post Next Post