Home MSANII KEYSHA APATA MTOTO WA KIUME byDina Zubeiry -March 15, 2011 0 MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Khadija Shaban 'Keysha' amefanikiwa kupata mtoto wa kwanza wa kiume.Hongera kwa kuwa mama, kila la heri katika makuzi ya mwanao huyo! Facebook Twitter