ONYESHO la wazi la mavazi mahususi kwa kuchangia kampeni ya kuhamasisha uzazi salama lilolobatizwa kwa jina la MAMMA MIA ambalo liliandaliwa na mubinfu wa mavazi nchini Mustafa Hassanali limevutia mashabiki wengi wa tasnia hilo ambao walijitokeza kushuhudia katika viwanja vya Mnazi Mmoja.