TOP C ANAOMBA KURA ZENU KILI MUSIC AWARDS

TOP C
MSANII chipukizi wa bongo fleva TOP C anawaomba mashabiki kumpigia kura kwa wingi ili aweze kushinda katika tuzo za muziki za kili kwa mwaka huu.
Top C anawania MSANII ANAYECHIPUKIA ili kumpigia andika v.125 kwenda 15747.
Pia wimbo wake wa 'LOFA' unawania WIMBO BORA WA MWAKA ili kumchagua andika Y.181 kwenda namba 15747.

Post a Comment

Previous Post Next Post