SERENGETI YAKABIDHI MILIONI 100 KWA TFF.

Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Angetile Osiah mfano wa hundi ya sh. milioni 100 ikiwa ni sehemu ya udhamini wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). Hafla hiyo ilifanyika Machi 24 mwaka huu ofisi za TFF, Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post