
MAN WATER AMBAYE NI MTAYARISHAJI KATIKA STUDIO ZA COMBINATION SOUND AMBAYO INAMSIMAMIA MSANII ABAS ISSA '20% AKIWA NA MOJA YA TUZO KATI YA TANO ALIZOTWAA MSANII WAKE .20% ALITWAA TUZO ZA WIMBO BORA WA AFRO POP, MTUNZI BORA WA NYIMBO, MWIMBAJI BORA WA KIUME,EIMBO BORA WA MWAKA NA MSANII BORA WA MUZIKI WA KIUME.

LADY JD-WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (NITAFANYA FT KIDUMU), 2.MWANAMUZIKI BORA WA KIKE

MAPACHA WATATU-WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)-SHIKA USHIKAPO

LINAH-MSANII ANAYECHIPUKIA, MWIMBAJI BORA WA KIKE

MZEE YUSUF-WIMBO BORA WA TAARAB (MY VALENTINE)

SAID MABERA-TUZO YA HESHIMA

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,Dr. Emmanuel Nchimbi akikabidhi tuzo ya heshima kwa Shirika la Utangazaji la Habari Tanzania (TBC) kwa Joe Lugalabamu.

C PWAA- WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL, VIDEO BORA YA MWAKA (ACTION)

HARDMAD-WIMBO BORA WA REGGE (UJIO MPYA)

JOH MAKINI-WIMBO BORA WA HIP HOP (KARIBU TENA), PIA MSANII BORA WA HIP HOP

KULIA NI LAMAR-MTAYARISHAJI BORA

JCB- ALITWAA WIMBO WAKE WA UKISIKIA PAA ULIMPATIA TUZO MBILI, 1.WIMBOP BORA WA HIPHOP, 2.WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA.

MPOKI-TUZO YA MUZIKI WA ASILI (SHANGAZI)

KHARID CHOKORAA, ALITWAA TUZO YA RAPA BORA (BENDI)

MSANII BEN PO AKIKABIDHIWA TUZO YA WIMBO BORA WA R&B(NIKIKUPATA)