Mchezaji wa timu ya Simba Mussa Hassan Mgosi akijaribu kumtoka beki wa timu ya Yanga wakati timu hizo zilipokutana na kupepetana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo, timu hizo zimetoka sale ya kufungana kwa magoli 1-1.
Kikosi cha Timu ya Yanga kilichocheza na timu ya Simba ya Mtaa wa msimbazi leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.