ETI NYOMI HILI LIMEINGIZA MILIONI 354




WAKATI zaidi ya shilingi bil.1.6 zikipatikana kupitia michuano ya kombe la Kagame.
Mechi ya fainali iliyowakutanisha Simba na Yanga juzi imeingiza ya Mil. 354,554, 000. 

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Tff Angetile Osian alisema katika mechi ya fainali waliingia mashabiki56, 626, huku jumla ya mashabiki walioingia kwenye mechi zote ni 289 za Morogoro na Jijini Dar es Salam ambapo ndio iliyoingiza mapato mengi zaidi.

4 Comments

  1. pole mamapipiro a.k.a.mama simba,haya ndio mashindano ya kimataifa ambayo huwa mnadai ndio mnayaweza...

    ReplyDelete
  2. Achani wizi,kwani huwa mnasemaga kweli nyonyi mkishafanikisha mlichokipata?
    Mnachukua mapema chenu kabla ya kuachia ngazi sio?

    ReplyDelete
  3. wamechakachua haiwezekani!

    ReplyDelete
  4. Narudia tena,nyomi kweli tumeliona na uchakachuaji tff ni kama kifo tu haukwepeki,ila nasema tena pole mamapipiro a.k.a.mama simba hayo ndio mashindano ya kimataifa ambayo simba mmekua mkidai ndio mnayaweza,there is only one yanga...pan african,toto africa,african sports,african wonderers zote ni photocopy

    ReplyDelete
Previous Post Next Post