MPIGA PICHA MKUU WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA ANUSURIKA KUPIKEA KIPIGO UWANJA WA TAIFA



KAMA si kuokolewa na uskari wa usalama pamoja na kamisha wa mchezo wa fainali wa mechi ya Kagame baina ya Simba na Yanga jana kwenye Uwanja wa Taifa, ingekuwa habari nyingine kwa mpigapicha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga.
SEnga aliyekwenda kikazi uwanjani hapo huku akiwa amevaa tisheti ya rangi ya njano na kukaa katika lango la Simba kabla ya mashabiki kuanza kumuandama wakimtaka aondoke eneo hilo.
Hata hivyo, Senga aligoma hivyo ili katika kuweka mambo sawa ilibidi busara zitumike kwenda kumuobndosha katika eneo hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post