MDAU EBOU SHATRI ANASEMA MNYAMA LEO KUUAWA LAZIMA

Dada dina mambo vipi natumaimzima sana, nawatakia mchezo mwema baina ya simba na yanga wooow tuna umiss huku kwetu sanaaa ila mimi yanga natuma picha na watakia wadau na wampenzi wote wa yangaa wewe unajua vya kuipamba zaid ushindi mwemaa mkewetu simba alitangulia chumbani mwana yanga anakuja sasa lol .
Mdau huyu waweza mpata www.swahilivilla.blogspot.com

1 Comments

  1. Yanga oyeee...!! nilijua wanaondoka tu hao dada dina! wapenzi wa simba waingia mitini Facebook!

    ReplyDelete
Previous Post Next Post