KAIZER Chief ya Afrika Kusini imeifunga Tottenham Hotspur ya England 1-0 katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Vodacom 2011 kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, mjini Polokwane leo, bao pekee la chipukizi George Lebese
Kaizer ilimfanyia majaribio mshambuliaji wa Simba Mganda Emmanuel Okwi, kabla ya kughairi kumsajili na sasa amekwenda kujaribu bahati yake Sweden.