YANGA, YANGA, YANGA!





2 Comments

  1. NINA RAHAAAAAAAAAAAA JAMAAAAANI LOOOO!!! MDOMO WAO KWISHAAA KABISA LABDA NA HILO GORI TULIBEBWA...I WISH NINGEKUWEPO BONGOO YANGAA OYEEEEEEEEEEEEEEEEE .....LEO UMEWEKA KICHA CHA HABARI KIZURI SAANA

    ReplyDelete
  2. Ushabiki bwana, lakin ndio mpira huo, na mpira bogo ni Simba na Yanga...na ukiangalia mpira wenyewe, ...unafurahisha nje kiushabiki tu, ukiingia ndani...duuh hutaamini, ina maana maneno yote yale kejeli,,,mpira wenywe ndio huuu....!
    'Wewe timu gani?' utaulizwa, kama Simba, basi utakuwa Yanga, utani unaanza, watu wanafungana kwa mdomo hata kabla mpira haujafika uwanjani!
    HONGERA YANGA, NA SIMBA MKUBALI MATOKEA, KWANI ASIYEKUBALI KUSHINDWA SIO MSHINDANI!

    ReplyDelete
Previous Post Next Post