SAFARI YA YANGA KWENDA MSUMBIJI YAOTA MBAWA

YANGA imeahirisha safari yake ya kwenda Msumbiji kujiandaa na mechi yake dhidi ya Watani wao Simba inayotarajiwa kufanyika jumamosi hii kwenye uwanja wa Taifa.
Yanga ilikuwa iondoke mchana wa leo lakini uongozi umeamua kuahirisha safari hiyo kutokana na sababu tofauti ikiwemo muda, na hali ya hewa.

Post a Comment

Previous Post Next Post