Home SHINDANO LA UREMBO LA MIS UHURU LAJA byANID UPDATES -October 27, 2011 0 Mkurugenzi wa masoko wa Rush – Way International Dominick Haule akizungumzia kuhusiana na shindano la kwanza la Miss Uhuru litakalofanyika usiku wa kuamkia Desemba 9 mwaka huu. Facebook Twitter