NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI, ATHUMAN MFUTAKAMBA AKIMKABIDHI BENDEA YA TAIFA VODACOM MISS TANZANIA SALHA ISRAEL AMBAYE ATAONDOKA KESHOKUTWA KWENDA LONDON KUSHIRIKI FAINALI ZA MISS ZA MISS WORLD ZINATAKAZOFANYIKA DESEMBA 3, KUSHOTO NI MKUU WA UDHAMINI WA VODACOM, GEORGE RWEHUMBIZA NA KULIA NI MLEZI WA KAMATI YA MISS TANZANIA, EMMANUEL OLE NAIKO.
HAPA AKIKABIDHIWA MICHANGO TOKA KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UJENZI, WADAU NA WAFANYAKAZI WA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC), JUMLA YA SHILINGI MIL.8.4.
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI TULIOSHUHUDIA
MH.MFUTAKAMBA AKIMKABIDHI KIPEPERUSHI KINACHOTANGAZA VIVUTIO MBALIMBALI VYA UTALII VILIVYOPO NCHINI.
WANAFAMILIA WA MISS TANZANIA
UNCLE HASHIM LUNDENGA AKITAFAKARI