MATUMLA AUSAMBALATISHA MTAMBO WA GONGO

 Refarii Antoni Luta katikati akimnyoosha mkono juu bondia Rashidi Matumla kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa pointi.
Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla Wakioneshana umwamba wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa pointi (Picha na www.superd boxingcoach.blogspot.com)

Post a Comment

Previous Post Next Post