Katibu Mkuu wa RT, Mujaya Suleimani
Nyambui, amesema awali walipanga, katika kikao hicho wangekutana na Kamati ya Uchaguzi ili
kupanga tarehe ya usaili, lakini wameamua kuteua kamati ya watu wanne, ambao
wataenda kukutana na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Taifa (BMT), Dionis Malinzi
ili kujadili jinsi ya kuzipata fedha ambazo zitawasaidia ili kufanikisha uchaguzi
huo.