Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kushoto akimwelekeza
bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi ya kujiandaa kupambana na Bondia Selemani
Galile April 9
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kulia akimwelekeza bondia
Tomas Mashari wakati wa mazoezi ya kujiandaa kupambana na Bondia Selemani Galile
April
Bondia Tomasi Mashari akifanya Mazoezi leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa
na Selemani Galile litakalofanyika April 9
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kushoto akimwelekeza
bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Bondia
Selemani Galile April 9(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)