Bingwa wa dunia wa ndondi mkanda unaomilikiwa na IBC,
Francis Cheka wa Morogoro amesaini mkataba wa kupigana na bingwa wa kick
Boxing. Japhet Kaseba katika uzani wa KG 75 utakaofanyika siku ya sabasaba
jijini Dar es Salaam
Akizungumza wakati wa kusaini mkataba huo Cheka amesema anashukulu kupata mpambano huo na atahakikisha anaonesha uwezo wake wote katika mchezo huo kwani yeye ni bingwa wa mchezo wa masumbwi na mabondia wengi wanamtaka kupigana na yeye.

;Najua
mabondia wa hapa bongo kila mtu anataka kucheza na mimi tu wanajua mimi ndio
nalipa kwa soko la bongo na nitahakikisha kila anaekuja mbele yangu namtandika
kifupi Tanzania akuna bondia mwenye uwezo zaidi yangu alisema Cheka.
Kaseba nilimpiga kwa K.O tareha 3 October 2009 nilimpinga anataka tena wembe kwa ngua ngumi ni sehemu ya maisha yangu siwezi kukataa na mimi ndio napata ridhiki yangu humu hivyo nitahakikisha anaekuja mbele yangu namtwanga tu bila huruma nitaanza na Mada Maugo 28 April na huyo namuweka kama kipolo
Nae Promota wa mpambano huo Kaike Siraju amesema mpambano huo utakaofanyika Dar es salaam siku ya sabasaba utakuwa ni mpambano ambao aujawai kutokea kwa kuwa mabondia hao wanakubalika na mashabiki wa ndani na nje ya Nchi
Mbali na mpambano huo pia kutakua na mapambano ya utangulizi na burudani mbalimbali ambazo mtatangaziwa baadae;