
Katibu
wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu
mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live.

Katibu
wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu
mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao wa
kugombea Ngao ya Pasaka utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live.

Alphonce
Mchumia tumbo akitamba.

Mabondia
wa kike wakitunishiana misuri kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao kesho
kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda baada ya kupima uzito leo katikati ni
mratibu wa mchezo huo Kaike Siraju.

Mabondia
Rashidi Matumla na Maneno Osward waklitambiana leo kwa ajili ya mpambano wao
kesho.

Bondia
Furaha Nganda akipimwa presha na Dr. Donald Madono kwa ajili ya mpambano wake
kesho.

Mmewaona
kesho wanagombea ngao ya Pasaka.

Mchumia
Tumbo kwenye pozi.

Auniwezi
ndio wanavyotambiana bondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward.

kumaliza
ubishi kesho ndani ya Dar live

Wewe
cha mtoto tuuu uniwezi ndivyo walivyokuwa wakipeanma mkwara mabondia wa kike
kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda.(Picha zote na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)