KAMA mnavyofahamu Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania inayowakilisha katika michuano ya kimataifa hivyo wadau wa michezo bila kujali unaishabikia timu gani kesho basi tuungane kwa wingi uwanja wa Taifa kwa kuwashangilia vijana wa Simba watakapowakabili Al Ahli Shendi ya Sudan ili waweze kuongeza morali ndani ya dimba na hatimaye kuishinda.
Nimeipenda hii Dada Dina.Kazi njema na hongera kwa Simba Tanzania
ReplyDelete