Tusker ya Kenya
na Ports ya Djibouti
zinawasili leo jioni kukamilisha idadi ya timu kumi na moja zinazoshiriki
mashindano ya Kombe la Kagame yanayoanza kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam .
Mechi za kesho ni APR ya Rwanda
dhidi ya El Salam Wau ya Sudan Kusini itakayoanza saa 8 kamili mchana na
kufuatiwa na ya saa 10 kamili jioni kati ya mabingwa watetezi Yanga na Atletico
ya Burundi .
Timu zote kutoka nje ya mazoezi zimeshapangiwa viwanja vya
mazoezi ambapo zitavitumia kwa mujibu wa ratiba ambayo imepangwa na Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF). Makazi ya timu hizo na viwanja vya mazoezi ni kama
ifuatavyo;
Timu:
Uwanja wa mazoezi: Accommodation:
APR (Rwanda ) Mabibo Hostel - Marriott Hotel
(Mabibo External)
AS Vita (Congo ) University
of Dar es Salaam - Chichi Hotel (Kinondoni)
Atletico (Burundi )
Mabibo Hostel -
Lunch Time Hotel (Mabibo Hostel)
Azam (Tanzania ) Azam Complex - Azam Complex
(Chamazi)
El Salam Wau (S. Sudan )
Zanaki Sekondari - Rungwe Hotel
(Kariakoo)
Mafunzo (Z’bar)
Kinesi - Rombo
Green View Hotel (Sinza)
Ports (Djibouti ) Kinesi - Rombo
Green View Hotel (Sinza)
Simba (Tanzania ) ……………………. – Vina Hotel (Mabibo
Makutano)
Tusker (Kenya ) Zanaki Sekondari - Rungwe Hotel (Kariakoo)
URA (Uganda ) Loyola -
Valentino Royal Hotel (Kariakoo)
Yanga (Tanzania ) …………………. – ……………………….