KLABU ya soka ya Yanga jana imeanza vibaya michuano ya kombe la Urafiki baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 na Jamhuri, katika mchezo ulipoigwa kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.
SAFI SANA NIMEPENDA HEADING YAKO YANGA YAPIGWA 3-2 NA JAMHURI,HUWA NATABIA KILA ASUBUHI KABLA SIJAANZA KAZI LAZIMA NIPITUIE BAADHI YA BLOG...ILA KUNA MTU ANAITWA BIN ZUBEIRY HABARI ZAKE ZIMEJAA UNAZI MTU,HEADING ZAKE OOOH!YANGA B IMEFUNGWA KUMBINDE NA JAMHURI....JAMANI HIVI KWELI TUTAFIKA KAMA NDO MCHAMBUZI WA SOCCER TUNAYE MTEGEMEA...KAMA KWELI MTU ANAYEJUWA SOCCER ANAYEIFAHAMU YANGA,YANGA HAWANA TEAM B....LABDA WANGESEMA KUNA YANGA NIONZIMA NA YANGA BILA NIONZIMA(YANGA BILA NIONZIMA IMEFUNGWA WA MBINDE NA JAMHURI YA PEMBA.)

ReplyDeleteNAKUPA TANO MDAU .. HUYU HAYUPO HURU ANA UNAZI NA KAMA ANABISHA ATUTAJIE HICHO KIKOSI CHAO.... NA HAO WENGINE WALIKUWA WAPI....?
Delete