Makamu Mwenyekiti wa Simba
SC , Geofrey Nyange Kaburu
akimkabidhi Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe tuzo ya
heshima kutokana na mchango mkubwa wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika
mafanikio ya klabu hiyo. Tuzo hiyo ilitolewa jana wakati wa sherehe za siku ya
Simba Day. Anayeshuhudia ni Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Profesa Philemon
Sarungi. (Picha: Executive Solutions)