UZINDUZI SKYLIGHT BAND ULIVYOFANA

 Mchekeshaji Steve Nyerere akiongoza jahazi la Skylight bendi huku pembeni akiwa ni mshreheshaji wa shughuli hiyo Beny Kinyaiya. Hii ilikuwa ni  katika uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika hoteli ya Graffe Ocean View jijini Dar.
Mchekeshaji Steve Nyerere akionyesha manjonjo yake. Anakwambia, "Mdomo biashara ndiyo maana kila mtu amepewa kipaji chake cha kutafuta hela.
Vijana wa vyombo kutoka Skylight bendi hawa ndiyo huwa wananogesha mambo yote.
Watu walijitokeza kwa wingi kuiunga mkono bendi yao.
Justine Ndege akiwa katika uso wa furaha.
Show Love nayo ilikuwepo.
Wadau wakifuatilia kwa makini.
Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa na wanamuziki wa Skylight bendi wakiwasha moto.
Mwanamuziki Joniko Flawa akiwa na Mchekeshaji Steve Nyerere.
Wadau wakijiachia kwa shangwe.
...haya twendeeeee
... jiachieeee kwa raha zako
Kulia... kushoto
Vimwana wa Skylight bendi wakionyesha umahili wao.
... Bwana Goodluck na mkewe wakishow love
Sam Machozi akimwaga burudani
... ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Jonoko Flawa akimwaga mauno mbele ya wadau.
Uongozi mzima wa Skylight bendi ukifuatilia.

Post a Comment

Previous Post Next Post