Diwani wa Kata ya Kibada, Kigamboni (CUF), Juma Nkumbi (wa tatu kutoka kushoto), akiwa na Diwani wa Vijibweni, Kigamboni (CCM), Suleiman Mathew (anayemfuatia) katika ukumbi wa City Sports Lounge asubuhi hii, wakati wa kukabidhi fedha za maandalizi kwa wawakilishi wa Miss Kigamboni, kwenye shindano la Miss Temeke 2012, linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Wengine kulia ni warembo, Eddah Sylvester (Miss Kigamboni 2012) na Esther Albert (Miss Kigamboni namba 4). Kushoto ni Agness Goodluck (Miss Kigamboni namba 2).
|