Simba
imepigana na mahasimu wao Yanga kuhusiana na mgao wa mil 93 katika mechi yao na kusema wanakubaliana na mgao huo waliopewa na
Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF).
Yanga jana kupitia kwa Katibu wake , Lawrance Mwalusako iliitaka TFF kuchunguza tatizo la
kupatikana kwa mapato kiduchu ya mil 390,568,000 yaliyotokana na watazamaji 50,455 walikata tiketi
kushuhudia mechi hiyo iliyochezwa usiku kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 7,000,
sh. 10,000, sh. 15,000, sh. 20,000 na sh. 30,000.
Mwalusako
alisema idadi ya watazamaji 58,000 iliyotolewa na TFF
ilikinzana na ile ya SuperSport kwa makadirio ya chini tu iwapo kila
mtazamaji aliyeingia uwanjani humo angelipa walau sh 15 000 tu zingepatikana
zaidi y ash milioni 6,000.
Hata hivyo, Simba kupitia kwa msemaji wake Ezekiel Kamwaga,imesema haijafanya
utafiti juu ya suala