Hogan akiwa na binti yake Brooke
BROOKE Hogan, binti wa mcheza mieleka maarufu duniani Hulk
Hogan, amechumbiwa na mchezaji wa
Cowboys Dallas inayoshiriki Ligi ya NFL,
Phil Costa.
Costa ambaye anaingia msimu wa nne katika NFL aliamua kupiga
goti huku katika tukio hilo lililojiriri
kwenye kiota cha Bellagio mjini Las Vegas nchini Marekani.

