Home RUFAA YA MARA YATUPWA byANID UPDATES -May 21, 2010 0 KAMATI ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanznia (TFF) chini ya Makamu Mwenyekiti Llyod Nchunga imeitupilia mbali rufani ya mkoa wa Mara baada ya kumchezesha Rudenzi Hamisi Kilinga katika michuano ya kombne la taifa 2010 kinyume na kanuni ya 33(2)111 Facebook Twitter