BIBI HARUSI, SOFIA NKURLU
Bi harusi akipelekwa kukabidhiwa rasmi na kaka yake mkubwa Ephraim Nkurlu kwa Bw harusi Mao Rwangisa
Bi Harusi Sophia Nkurlu akisindikizwa na Mpambe wake Sonia kuingia kwenye gari kuelekea kanisani.
Wapambe nao walipendezaaaaaaa