MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA SEKTA BINAFSI TANZANIA ESTHER MKWIZU AKIMKABIDHI BENDERA YA TAIFA VODACOM MISS TANZANIA 2010, GENEVIEV EMMANUEL MPANGALA.
WAZAZI WA MISS TANZANIA
GENEVIEV AKIWA NA MISS TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE, MIRIAM GERALD.
MISS TABORA 2010, PILI ISSA RUPIA NAYE ALIHUDHURIA
MIRIAM GERALD, MISS TZ 2009
GEORGE RWEHUMBIZA, MENEJA UDHAMINI WA VODACOM TANZANIA.
EMMANUEL OLE NAIKO, MKURUGENZI WA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
KINA MAMANSIPITWE NAO HATUKUKOSEKANA, SHOTO HAPO UTAMPATA KATIKA http://www.bongoweekend.blogspot.com/
VODACOM Miss Tanzania 2010 Geneviev Emmanuel Mpangala leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania tayari kuipeperusha katika shindano la Miss World 2010, litakalofanyika oktoba 31, huko Beijing, China.Mrembo huyo anatarajiwa kuondoka kesho Alhamis kwenda Beinjing itakapokuwa kambi ya warembo zaidi ya 120 watakaoshiriki shindano la Miss World ambayo itaanza Oktoba Mosi.
Mgeni rasmi katika hafla ya kumkabidhi bendera Miss Tanzania, Mkurugenzi wa Sekta Binafsi nchini, Esther Mkwizu alimtaka mrembo huyo kuiwakilisha vema Tanzania sambamba na kuzingatia suala la nidhamu.
Naye mrembo huyo aliahidi kufanya vizuri katika shindano hilo.