Mkurugenzi wa superbrands africa mashariki Jawad Jaffer (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika kwa wateja wa simu za mkononi afrika mashariki,katikati Mkurugenzi wa mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakionyesha cheti cha kudhibitishwa ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika kwa wateja wa simu za mkononi afrika mashariki mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi wa superbrands Jawad Jaffer(hayupo pichani)
Baadhi ya washindi waliokabidhiwa vyeti mbalimbali toka kwa kampuni ya superbrand.