MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ambwenye Yessaya amerejea nchini mapema wiki baada ya kuwa nchini Uganda akirekodi wimbo wake aliomshirikisha mwanadada kutoka visiwa vya Trinidad & Tobago Ms Trinity, jumapili hii atakamua katika klabu ya kimataifa ya Afrika Mashariki na Kati Bilicanas kupitia usiku wa 'Bongo Starz Nite'MSIKOSE