BONDIA wa Tanzania Michael Ndongo ameukosa mkanda wa unalotambuliwa na chama cha ndondi katika ukanda wa mashariki ya kati ( Middle-East title ) baada ya kutwangwa na Taher Davar wa Iran kwa WTKO katika raundi ya pili kati ya nne,pambano lilifanyika Dubai hivi karibuni.
BONDIA WA TANZANIA ADUNDWA DUBAI
byANID UPDATES
-
0