Home MRISHO NGASA APELEKA KILIO PALESTINA byDina Zubeiry -February 09, 2011 0 MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Taifa 'Taifa Stars' Mrisho Ngasa, ameifungia bao la pekee lililoitoa kifua mbele timu hiyo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Palestina iliyopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Facebook Twitter