BENDI ya muziki wa dansi Fm Academia leo itafanya onyesho la Vunja Jungu kwa wakazi wa Tabata ambapo mambo yatakuwa katika ukumbi wa Da West Park.
Onyesho hilo ambalo limeandaliwa na kampuni ya Zum Fashion linalengo la kuwapa raha wakazi wa Tabata na maeneo jirani ikiwa ni katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramdhan ambapo kiingilio kitakuwa shilingi 5,000 kwa kila mmoja.