Vimwana wanaowania taji la Redds Miss Temeke, wakicheza na kuburudika katika fukwe ya South Beach Kigamboni walipokwenda kuvinjari ikiwa ni mapumziko ya sikukuu ya Sabasaba, Viwamna hao watachuana July 16, mwaka huu kwenye ukumbi wa TCC, Chang'ombe.(Picha BMP Promotions)
MISS TEMEKE WAJIACHIA UFUKWE WA CINE
byANID UPDATES
-
0