TWIGA STARS HOI ZIMBABWE

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' imeshindwa kuingia fainali ya michuano ya kombe la COSAFA baada ya kutolewa na wenyeji Zimbabwe kwenye Uwanja wa Rufaro kwa mikweaju ya penalti  4-2 baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu.

Post a Comment

Previous Post Next Post