UZINDUZI WA ALBAMU YA TOTOO ZE BINGWA JUMAMOSI DIAMOND JUBILEE

RAPA wa bendi ya Akudo Impact Emmanuel Kalonji 'Totoo Ze Bingwa' akizungumzia uzinduzi wa albamu yake binafsi inayokwenda kwa jina la HII MAMBO HAYAELEWEKI utakaofanyika jumamosi hii kwenye ukumbi wa Diamond Jubillee, jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo utasindikizwa na bendi yake ya Akudo Impact, 20%, Zola D, Benjamin wa Mambo Jambo na Sharama kutoka Kenya.

Post a Comment

Previous Post Next Post