KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Simba, Moses Basena amefiwa na mama yake mzazi.
Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amesema leo kwamba, mama huyo wa Basena aliyepo nchini Uganda amekuwa akiugua kwa muda mrefu.
"Kocha wetu aliondoka juzi kwenda kumuuguza mama yake mzazi lakini kwa bahati mbaya alifariki dunia, kwa niaba ya Wanasimba wote tunatoa pole kwa kocha Basena na tunamuomba mwenyezim munguy amjaze nguvu katika kipindi hiki kigumu ", Alisema Rage

AHAAA KUMBE BADO YUPO YUPO HUYO KOCHA SIO,TULIJUA MME MMWAGA
ReplyDelete