TIMU 11 KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE 2011

TIMU 11 zimethibitisha kushiriki michuano ya  Kombe la CECAFA Tusker Challenge 2011 itakayoanza kutimua vumbi Novemba 25 hadi Desemba 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Rais wa CECAFA, Leodger Tenga amezitaja nchi zilizothibitisha kuwa ni pamoja na Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, , Burundi , Djibouti, Somalia, Sudan, Zanzibar, Eritrea na Tanzania huku kampuni ya Bia ya Sertengeti ikimwaga shilingi Mil.823 kwa ajili ya udhamini kwa mwaka huu.

Post a Comment

Previous Post Next Post