ALLIY MHANDO
ALLIY Amir Mhando akiwa na baba yake Amir Mhando, tunakutakia kila la heri katika siku yako hii, pia tunakuombea kwa mwenyezi mungu afya njema na maisha marefu zaidi huku ukilindwa na mabaya yote duniani.
Hongera sana mdau Amir na mkeo kwa makuzi ya mwanenu kipenzi Inshallah mwenyezi mungu awatangulie kwa kila jambo, Amin.