Miss Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana
Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
Salha Israel aliye vaa Nguo za Njano katika Mazoezi ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania
Salha katikati akiwa Edinburgh Castle hivi karibuni katika safari ya kuelekea katika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Dunia.
Miss Tanzania 2011 Salha Israel wa Pili kutoka kulia akigonganisha glass na wenzake .. katika safari ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.
Salha Israel wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake
MissTanzania 2011 Salha Israel wa Tatu kutoka kulia akifurahia kwa Shangwe wakati wa Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha Mrembo wa Dunia.
Kwa picha zaidi Tembelea: www.fredynjeje.blogspot.com