MISS TANZANIA SALHA ISRAEL ATINGA NUSU FAINALI YA TAJI LA BEAUTY WITH PURPOSE

VODACOM Miss Tanzania 2011, Salha Israel (pichani)amefanikiwa kuingia nusu fainali ya taji la Urembo wenye malengo maalum (Beauty with Purpose) yaliyofanyika juzi nchini Uingereza.
Salha ametinga hatua hiyo baada ya kuwasilisha kazi yake ya Jamii aliyoifanya kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alisaidia watoto wenye matatizo ambao wanazaliwa chini ya mwezi moja.
Katika shindano hilo, Salha aliwakilisha DVD inayonyesha jinsi gani alivyomsaidia mtoto aliyezaliwa kwenye hospitali hiyo huku akiwa na kidonda kikubwa mgongoni.

Post a Comment

Previous Post Next Post