MECHI YA SIMBA NA MORO UNITED YAPELEKWA CHAMAZI

KUWEPO kwa kliniki ya soka kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 inayojulikana kama 'Airtel Rising Stars' kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kumepelekea kuhamishwa mchezo huo kutoka katika dimba la Taifa hadi kwenye dimba la Chamazi, jijini Dar es Salaam.

1 Comments

  1. NASIKIA MMEMTIMUA KOCHA WENU BAADA YA KIPIGO,POLENI MAUMIVU YA KICHWA NDIO KAWAIDA YAKE HUANZA POLE POLE,MRUDISHENI MZAMBIA PHIRI

    ReplyDelete
Previous Post Next Post