Home SIMBA, KIYOVU WAINGIZA MIL.208 byANID UPDATES -March 06, 2012 0 MECHI ya Shirikisho (CAF) baina ya Simba na Kiyovu ya Rwanda iliyopigwa jumapili kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam umeingiza kiasi cha shilingi milioni 208, 843,000.00 ambapo baada ya makato yote Simba imeambulia milioni 104. Facebook Twitter