MSANII MR.KAKUNDA ADONDOSHA NGOMA MPYA

Msanii wa bongo fleva nchini anayekwenda kwa jina la Mr.Kakunda ameachia singo yake mpya inayokwenda kwa jina la Naumia na Mapenzi ambao amemshirikisha Ney Wamitego.
Mr.Kakunda ameiambia mamapipiro blog kwamba singo hiyo ambayo  pia imebeba jina la albamu yake ya pili ameirekodi katika studio za Jm za jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post